Henry Kendall
Henry Way Kendall (9 Desemba 1926 – 15 Februari 1999) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza atomu na mfumo wake. Mwaka wa 1990, pamoja na Jerome Friedman na Richard Taylor alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/80px-Tuzo_Nobel.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/9/9e/Henry_Kendall_by_Tom_Frost_crop.jpg)
Viungo vya nje
hariri![]() | Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henry Kendall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoClatous ChamaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShairiAina za manenoLuhaga Joelson MpinaKamusiVivumishiNahauMshororoFasihi simuliziMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMaumivu ya kiunoTanzaniaKisaweOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusi za KiswahiliUandishi wa ripotiSimba S.C.KumaPeter Simon MsigwaVieleziFasihiVitendawiliMpira wa miguuMofimuSilabiNembo ya TanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNominoUandishi wa inshaAlama ya uakifishajiUsafi wa mazingiraSentensiMisemoOrodha ya Vyuo Vikuu vya Tanzania