William Ramsay
William Ramsay (2 Oktoba 1852 – 23 Julai 1916) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alivumbua na kuchunguza elementi za gesi, yaani neoni, agoni, kriptoni na xenoni. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/80px-Tuzo_Nobel.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/cb/William_Ramsay.jpg/220px-William_Ramsay.jpg)
Viungo vya nje
hariri![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Ramsay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoClatous ChamaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShairiAina za manenoLuhaga Joelson MpinaKamusiVivumishiNahauMshororoFasihi simuliziMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMaumivu ya kiunoTanzaniaKisaweOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusi za KiswahiliUandishi wa ripotiSimba S.C.KumaPeter Simon MsigwaVieleziFasihiVitendawiliMpira wa miguuMofimuSilabiNembo ya TanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaNominoUandishi wa inshaAlama ya uakifishajiUsafi wa mazingiraSentensiMisemoOrodha ya Vyuo Vikuu vya Tanzania