17 Aprili

tarehe
Mac - Aprili - Mei
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
2930
Kalenda ya Gregori

Tarehe 17 Aprili ni siku ya 107 ya mwaka (ya 108 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 258.

Matukio

hariri

Waliozaliwa

hariri

Waliofariki

hariri

Sikukuu

hariri

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro na Ermogene, Simeoni bar Sabas na wenzake, Ustazhad na wenzake, Inosenti wa Tortona, Akasi wa Melitene, Pantagati, Donani, Elia, Paulo na Isidori, Robati wa Chaise-Dieu, Robati wa Molesme, Kateri Tekakwitha n.k.

Viungo vya nje

hariri
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 17 Aprili kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.