André Lwoff
André Michael Lwoff (8 Mei 1902 – 30 Septemba 1994) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza vijidudu na virusi. Mwaka wa 1965, pamoja na Francois Jacob na Jacques Monod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/sw/thumb/1/10/Tuzo_Nobel.png/80px-Tuzo_Nobel.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/fd/Andr%C3%A9_Lwoff_nobel.jpg/200px-Andr%C3%A9_Lwoff_nobel.jpg)
![]() | Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu André Lwoff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoFasihi simuliziClatous ChamaKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaShairiMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniTendo la ndoaMwanamkeTanzaniaMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzFasihiAina za manenoVichekeshoKamusiMpira wa miguuJohn MagufuliVivumishiSilabiKamusi za KiswahiliMtakatifu PauloOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoUandishi wa ripotiYoung Africans S.C.TafsiriMbooInjili ya MarkoKiswahiliZuchuAmri KumiLughaOrodha ya Watakatifu Wakristo