Aruj Barbarossa
Aruj Barbarossa (alijulikana kama Oruç Reis kwa Waturuki, 1474 - 1518) alikuwa mharamia wa Milki ya Osmani ambaye baadaye alikuwa Sultani wa Algiers. Alikuwa ndugu mkubwa wa Hayreddin Barbarossa, ambaye alikuwa jemadari maarufu wa Ottoman.
Aruj alizaliwa kisiwani Midilli (Lesbo ya leo nchini Ugiriki) chini ya Dola la Osmani na alikufa vitani dhidi ya Wahispania huko Tlemcen.
Alikuwa anajulikana kama Baba Aruj baada ya kuwasafirisha idadi kubwa ya wakimbizi Wamorisco, Waislamu, na Wayahudi kutoka Hispania hadi Afrika Kaskazini. Jina hili lilibadilika kwa muda mrefu katika etimolojia ya watu barani Ulaya, na kuwa Barbarossa, ambalo linamaanisha "Ndewe Mwekundu" kwa Kiitaliano.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "World Monument Photography". worldmonumentphotos.com. Iliwekwa mnamo 2017-12-08.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aruj Barbarossa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLimaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaTendo la ndoaJamii:Mbegu za jiografia ya Amerika KusiniLuhaga Joelson MpinaMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzFasihi simuliziJamii:Miji Mikuu AmerikaShairiMaumivu ya kiunoWilliam RutoLughaKamusiNembo ya TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKamusi za KiswahiliMpira wa miguuVichekeshoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaFasihiVita Kuu ya Pili ya DuniaJohn MagufuliZuchuOrodha ya Marais wa KenyaMbooMapenziHistoria ya KanisaAina za manenoVitendawili