Asus
ASUS (kirefu: ASUSTek Computer Inc.) ni kampuni ya vifaa vya kompyuta na umeme.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/91/ASUSTeK_Computer_headquarters_20150711.jpg/220px-ASUSTeK_Computer_headquarters_20150711.jpg)
Ilianzishwa Taipei mwaka 1989 na T.H. Tung, Ted Hsu, Wayne Hsieh na M.T. Liao.
ASUS ni mtengenezaji wa tano mkubwa zaidi duniani kwa mauzo ya mwaka 2013 (baada ya Lenovo, Hewlett-Packard, Dell na Acer).
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Asus kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoFasihi simuliziClatous ChamaKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaShairiMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniTendo la ndoaMwanamkeTanzaniaMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzFasihiAina za manenoVichekeshoKamusiMpira wa miguuJohn MagufuliVivumishiSilabiKamusi za KiswahiliMtakatifu PauloOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoUandishi wa ripotiYoung Africans S.C.TafsiriMbooInjili ya MarkoKiswahiliZuchuAmri KumiLughaOrodha ya Watakatifu Wakristo