Bloemfontein
mji mkuu wa mahakama wa Afrika Kusini
Bloemfontein (tamka: "Blumfontain" - Kiholanzi/Kiafrikaans "chemchemi ya maua") ni kati ya miji mikuu mitatu ya Afrika Kusini pamoja na Pretoria na Cape Town. Jina la Kisotho ni Mangaung linalomaanisha "kwa duma". Bloemfountain ni makao ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini pia mju mkuu wa mkoa wa Vrystaat (au: Free State - "Dola huru").
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/9e/Bloemfontein%2C_Free_State%2C_South_Africa_%2820351086709%29.jpg/280px-Bloemfontein%2C_Free_State%2C_South_Africa_%2820351086709%29.jpg)
Jiji la Bloemfontein | |
Mahali pa mji wa Bloemfontein katika Afrika Kusini | |
Majiranukta: 29°9′0″S 26°13′48″E / 29.15000°S 26.23000°E | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Majimbo | Dola Huru |
Tovuti: www.bloemfontein.co.za |
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f6/Bloemfontein_panorama.jpg/220px-Bloemfontein_panorama.jpg)
Mji uko kwenye uwanja wa juu wenye kimo cha 1,395 m juu ya UB.
Mji mwenyewe una takriban wakazi 500,000. Kuna mji wa pili wa Mangaung wa wakazi 650,000 uliojengwa wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi kwa ajili ya watu weusi.
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Archived 29 Novemba 2017 at the Wayback Machine.
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bloemfontein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLimaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaTendo la ndoaJamii:Mbegu za jiografia ya Amerika KusiniLuhaga Joelson MpinaMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzFasihi simuliziJamii:Miji Mikuu AmerikaShairiMaumivu ya kiunoWilliam RutoLughaKamusiNembo ya TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKamusi za KiswahiliMpira wa miguuVichekeshoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaFasihiVita Kuu ya Pili ya DuniaJohn MagufuliZuchuOrodha ya Marais wa KenyaMbooMapenziHistoria ya KanisaAina za manenoVitendawili