Eneo bunge la Mlima Elgon

Eneo bunge la Mlima Elgon ni mojawapo ya Majimbo ya uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Bungoma, Magharibi mwa nchi.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingineย ยท Atlasi


Historia

hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Wabunge

hariri
UchaguziMbunge [1]ChamaVidokezo
1963Daniel Naibei Chepnoi MossKANU
1969Daniel Naibei Chepnoi MossKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Daniel Naibei Chepnoi MossKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Wilberforce arap KisieroKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Wilberforce arap KisieroKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Wilberforce arap KisieroKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Wilberforce arap KisieroKANU
1997Joseph N. KimkungKANU
2002John Bomet SerutKANU
2007Fred KapondiODM

Jimbo hili lina wodi 11, zote zikiwachagua madiwani kwa Baraza la Mt. Elgon County.

Wodi
WodiWapiga Kura Waliojiandikisha
Chemoge4,458
Chepkube2,915
Cheptais4,532
Chepyuk5,113
Chesikak6,793
Chongeywo3,190
Elgon5,197
Emmia4,269
Kapkateny3,338
Kaptama5,453
Namorio4,911
Jumla50,169
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

hariri

Marejeo

hariri