Foligno ni mji wa wilaya ya Perugia, mkoa wa Umbria, nchini Italia.

Kanisa kuu la Mt. Felichano.

Una wakazi 57,159 katika eneo la kilometa mraba 263.77.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Foligno kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.