Gary Grice (anafahamika kwa jina lake la kisanii GZA na The Genius; amezaliwa 22 Agosti, 1966) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Pia anajulikana kuwa mwanachama mwanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop za kigumu la Wu-Tang Clan na kujumuika nao kwenye albamu kadhaa - na baadaye kuja kama msanii wa kujitegemea na kupata mafanikio kibao.

GZA the Genius
GZA akitumbuiza kwenye tamasha la hip hop la Paid Dues
GZA akitumbuiza kwenye tamasha la hip hop la Paid Dues
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaGary Grice
Asili yakeBrooklyn, New York
Aina ya muzikiHip hop
Kazi yakeMwanamashairi
Miaka ya kazi1983 - hadi leo
StudioCold Chillin' Records
Loud Records
Geffen Records
MCA Records
Angeles Records
Babygrande Records
Ame/Wameshirikiana naWu-Tang Clan

Diskografia

hariri
MwakaJinaNafasi za Chati[1][2]RIAA
certifications[3]
Billboard 200Top R&B/Hip-Hop AlbumsTop Rap Albums
1991Words from the Genius---
1995Liquid Swords92-Platinum
1999Beneath the Surface911Gold
2002Legend of the Liquid Sword75218
2005Grandmasters (akiwa na DJ Muggs)1806913
2007GrandMasters Remix Album (akiwa na DJ Muggs)
  • Imetolewa: 2007
  • Studio: Angeles Records
---
2008Pro Tools521328,500+[4]

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu GZA kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.