Gregory Itzin

Gregory Itzin (amezaliwa tar. 20 Aprili 1948) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza katika mfululizo wa Kimarekani wa 24 kama Rais Charles Logan.

Gregory Itzin
AmezaliwaWashington, D.C.
Gregory Itzin

Viungo vya Nje

hariri
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gregory Itzin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.