Hande Yener

Hande Yener (amezaliwa kama Makbule Hande Özyener) (mnamo tar. 12 Januari 1973 mjini Istanbul) ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchi Uturuki.

Hande Yener

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaMakbule Hande Özyener
Amezaliwa12 Januari 1973 (1973-01-12) (umri 51)
Asili yakeIstanbul, Uturuki
Aina ya muzikiPop
Kazi yakeMwimbaji
Miaka ya kazi2000–hadi leo
TovutiTovuti Rasmi

Muziki

hariri

Albamu'

hariri
  • Senden İbaret (2000)
  • Sen Yoluna Ben Yoluma (2002)
  • Aşk Kadın Ruhundan Anlamıyor (2004)
  • Apayrı (2006)
  • Nasıl Delirdim? (2007)
  • Hipnoz (2008)
  • Hayrola? (2009)
  • Hande'ye Neler Oluyor? (2010)
  • Teşekkürler (2011)
  • Kraliçe (2012)
  • Extra (2001)
  • Hande Maxi (2006)
  • Hande'yle Yaz Bitmez (2010)

Viungo vya nje

hariri
Makala hii kuhusu muziki wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hande Yener kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikimedia Commons ina media kuhusu: