Honoka Hayashi
Honoka Hayashi (alizaliwa 19 Mei 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya Wanawake ya West Ham United inayoshiriki ligi ya Super League.[1]
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/94/Honoka_Hayashi_20240228.jpg/252px-Honoka_Hayashi_20240228.jpg)
Tangu mwaka 2019, Honoka aliwakilisha timu ya Japan katika Kombe la Dunia la FIFA 2023 na Olimpiki mwaka 2020.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "HAYASHI HONOKA". AFC.
- ↑ "Japan Football". Japan Football Association.
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Honoka Hayashi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLimaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaTendo la ndoaJamii:Mbegu za jiografia ya Amerika KusiniLuhaga Joelson MpinaMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzFasihi simuliziJamii:Miji Mikuu AmerikaShairiMaumivu ya kiunoWilliam RutoLughaKamusiNembo ya TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKamusi za KiswahiliMpira wa miguuVichekeshoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaFasihiVita Kuu ya Pili ya DuniaJohn MagufuliZuchuOrodha ya Marais wa KenyaMbooMapenziHistoria ya KanisaAina za manenoVitendawili