Jorginho
Jorginho (alizaliwa tarehe 20 Desemba mwaka 1991) ni mchezaji wa Italia ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya Chelsea F.C. na timu ya taifa ya Italia.
Alizaliwa nchini Brazil, Jorginho alihamia Italia akiwa na umri wa miaka 15, na kuanza kazi yake ya kitaaluma na timu ya vijana wa Verona, kabla ya kukuzwa kwa timu kubwa. Wakati wa 2010-11, alipelekwa mkopo kwa Sambonifacese.
Mnamo Januari 2014, alihamia Napoli, ambako mara moja alishinda Coppa Italia na Supercoppa Italiana.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jorginho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoFasihi simuliziClatous ChamaKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaShairiMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniTendo la ndoaMwanamkeTanzaniaMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzFasihiAina za manenoVichekeshoKamusiMpira wa miguuJohn MagufuliVivumishiSilabiKamusi za KiswahiliMtakatifu PauloOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoUandishi wa ripotiYoung Africans S.C.TafsiriMbooInjili ya MarkoKiswahiliZuchuAmri KumiLughaOrodha ya Watakatifu Wakristo