Judo
Judo (jap. 柔道 jūdō) aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan iko pia kati ya michezo ya Olimpiki.[1] Ilianzishwa mwaka 1882 na Jigorō Kanō.[2] Mieleka inashindaniwa kimataifa leo na judo ndiyo aina inayoshindaniwa zaidi kimataifa ya mieleka jaketi.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/06/Judo_Morote_Seoi_Nage_by_Bryan_small.gif/270px-Judo_Morote_Seoi_Nage_by_Bryan_small.gif)
Judo ni mchezo wa kifalsafa unaoathiriwa na mafundisho ya Ubuddha. kati ya misingi yake si kumshambulia mpinzani lakini kutumia nguvu ya mpinzani kw kumshinda.[3]
Historia
haririJudo ilianzishwa kwenye msingi wa mchzo wa mapigano ya kale zaidi inayoitwa Jujutsu.[4]
Jujutsu ilikuwa mchezo wa makabaila na askari wa Japani ya Kale iliyofundisha kumshinda mpinzani hadi kumwua. Kano aliondoa sehemu hatari akaunda Judo.
Kurasa husika
haririMarejeo
hariri- ↑ Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). "Judo" in Japan Encyclopedia, p. 435.
- ↑ Nussbaum, "Kanō Jigorō " at p. 477.
- ↑ Ohlenkamp, Neil. "Forms of Judo (Kata)," JudoInfo.com; retrieved 2012-2-27.
- ↑ Nussbaum, "Jū-jutsu" at p. 435.
Viungo vya Nje
hariri🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAloysius GonzagaKumaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShairiDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliFasihi simuliziAina za manenoSimba S.C.Maumivu ya kiunoBaraKitenzi kishirikishiVita Kuu ya Pili ya DuniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMawasilianoVichekeshoUzazi wa mpango kwa njia asiliaJohn MagufuliMbooNominoMofimuUandishi wa ripotiKamusiSentensiTendo la ndoaKiswahiliJumuiya ya Afrika MasharikiZuchuMshororoHistoria ya KanisaMisemo