Jumeirah (jina kamili: Jumeirah Group, hapo awali iliitwa Jumeirah International Group) ni mnyonyoro wa hoteli za anasa za kimataifa na sehemu ya Dubai Holding, ambayo inamilikiwa na Serikali ya Dubai.

Nembo ya Jumeirah

Mali ya Jumeirah ni kama Burj Al Arab na Jumeirah Emirates Towers, ambayo ni hoteli ya tatu katika hoteli refu zaidi duniani. Inasimamia Wild Wadi Water Park na The Emirates Academy of Hospitality Management na Jumeirah Hospitality.

Hata kama hoteli nyingi za Jumeirah zimo mjini Dubai, wao wanaanza kujenga ng'ambo. Mnamo Februari 2007, walikuwa na majumba mawili nchini Uingereza na moja nchini Marekani. Ina hoteli zinazojengwa nchini Bermuda, Uchina, Jordan, Qatar, Thailand na Uingereza.

Mali zake

hariri

Mali ambazo bado zinajengwa

hariri

Picha

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Jumeirah to manage resort in Argentina". Gulf News. 2008-06-11. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-03. Iliwekwa mnamo 2008-06-15. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)
  2. "www.tgr-asia.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-03-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-05.

Viungo vya nje

hariri