Kaunti ya Kajiado

Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Ramani ya Kaunti ya Kajiado,Kenya
Kaunti ya Kajiado, Kenya

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,117,840 katika eneo la km2 21,871.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 51 kwa kilometa mraba[1].Makao makuu yako Kajiado.

Utawala

hariri

Kaunti ya Kajiado imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:

Eneo bungeKata
Kajiado ya KatiPurko, Ildamat, Dalalekutuk, Matapato North, Matapato South
Kajiado MagharibiKeekonyokie, Iloodokilani, Magadi, Ewuaso Oonkidong'i, Mosiro
Kajiado MasharikiKaputiei North, Kitengela, Oloosirkon/Sholinke, Kenyawa-Poka, Imaroro
Kajiado KaskaziniOlkeri, Ongata Rongai, Nkaimurunya, Oloolua, Ngong
Kajiado KusiniEntonet/Lenkisi, Mbirikani/Eselen, Keikuku, Rombo, Kimana

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]

hariri
  • Isinya 210,473
  • Kajiado Central 161,862
  • Kajiado North 306,596
  • Kajiado West 182,849
  • Loitokitok 191,846
  • Mashuuru 64,214

Angalia pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Kajiado-county/
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.

Viungo vya nje

hariri