Kieire
Kieire (kwa lugha hiyo: Ghaeilge) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya.
Ni lugha mama ya watu 141,000 hivi, lakini wanaoijua kama lugha ya pili ni 1,865,000 hivi, hasa katika kisiwa cha Ireland hasa kwa sababu ni lugha ya taifa na lugha rasmi ya kwanza ya Eire. Kwa sababu hiyohiyo ni pia lugha rasmi mojawapo ya Umoja wa Ulaya.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kieire kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLimaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaTendo la ndoaJamii:Mbegu za jiografia ya Amerika KusiniLuhaga Joelson MpinaMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzFasihi simuliziJamii:Miji Mikuu AmerikaShairiMaumivu ya kiunoWilliam RutoLughaKamusiNembo ya TanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKamusi za KiswahiliMpira wa miguuVichekeshoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaFasihiVita Kuu ya Pili ya DuniaJohn MagufuliZuchuOrodha ya Marais wa KenyaMbooMapenziHistoria ya KanisaAina za manenoVitendawili