Kikumyk
Kikumyk ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wakumyk. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikumyk nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 426,000. Pia kuna wasemaji 1800 nchini Uturuki. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikumyk iko katika kundi la Kiturki ya Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikumyk kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikumyk Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikumyk katika Glottolog
- lugha ya Kikumyk kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikumyk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLuhaga Joelson MpinaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaTanzaniaNembo ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKumaShairiMaalum:MabadalikoyaKaribuniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)VichekeshoDiamond PlatnumzFasihi simuliziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaumivu ya kiunoMawasilianoKamusi za KiswahiliOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMisemoOrodha ya nchi za AfrikaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoYoung Africans S.C.VitendawiliVita Kuu ya Pili ya DuniaMofimuShinikizo la juu la damuJumuiya ya Afrika MasharikiWasukumaJohn MagufuliKiswahiliMboo