Kitausug
Kitausug (pia Kisulu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino, Malaysia na Indonesia inayozungumzwa na Watausug kwenye visiwa vya Palawan, Basilan na Kalimantan. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitausug imehesabiwa kuwa watu 900,000 nchini Ufilipino na watu 150,000 nchini Malaysia. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Indonesia (1981) Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitausug iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kitausug kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitausug
- lugha ya Kitausug katika Glottolog
- lugha ya Kitausug kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitausug kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilvestry Fransis KokaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaKumaClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMbooAina za manenoShairiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVichekeshoYoung Africans S.C.Mpira wa miguuOrodha ya nchi za AfrikaUandishi wa ripotiMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya Marais wa ZanzibarTendo la ndoaMapenziNominoKamusi za KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuSimba S.C.Hifadhi ya mazingiraHurumaMisemoJulius NyerereOrodha ya vitabu vya BibliaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania