Maceió
Maceió ni jina la mji mkuu wa jimbo la Alagoas katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 920,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 7 kutoka juu ya usawa wa bahari.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/46/Cidade_de_Macei%C3%B3-AL.jpg/280px-Cidade_de_Macei%C3%B3-AL.jpg)
Maceió | |||
| |||
Majiranukta: 9°39′57″S 35°44′06″W / 9.66583°S 35.73500°W | |||
Nchi | Brazil | ||
---|---|---|---|
Kanda | Northeast | ||
Jimbo | Alagoas | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 922,458 | ||
Tovuti: www.maceio.al.gov.br |
Viungo vya nje
hariri- (Kireno) Tovuti rasmi
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maceió kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLuhaga Joelson MpinaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaAina za manenoFasihi simuliziOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaVitendawiliShairiKumaKisaweClatous ChamaPeter Simon MsigwaVivumishiFasihiMaalum:MabadalikoyaKaribuniFadlu DavidsMikoa ya TanzaniaKamusi za KiswahiliOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMisemoNahauSilabiDiamond PlatnumzKamusiTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoAmri KumiMshororoMpira wa miguuSentensiHistoria ya TanzaniaMapenziUandishi wa ripotiMaumivu ya kiunoUmaskiniUsafi wa mazingiraViunganishi