Michael Douglas

Michael Kirk Douglas (amezaliwa tar. 25 Septemba 1944) ni mwigizaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Douglas alianza kufahamika zaidi baada ya kuigiza kama Insp. Steve Keller kutoka katika tamthilia ya Streets of San Francisco iliyokuwa inaonyeshwa katika miaka ya 1970.Douglas, baadae akaja kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wakubwa kabisa duniani na akabahatika kushinda tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 1987 kwa kuigiza filamu ya Wall Street kama mwigizaji bora wa filamu hiyo.

Michael Douglas
Michael Douglas mnamo 2013
Michael Douglas mnamo 2013
Jina la kuzaliwaMichael Kirk Douglas
Alizaliwa25 Septemba 1944
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Mtayarishaji
NdoaDiandra Luker (1977-2000)

Catherine Zeta Jones (2000-)

Watoto3, akiwemo na Cameron Douglas
WazaziKirk Douglas
Diana Dill

Vilevile Douglas amewahi kuigiza mafilamu mengi tu yenye mafanikio makubwa kabisa.Filamu hizo kama vile Fatal Attraction na Basic Instinct. Douglas ni mtoto wa gwiji la uigizaji duniani bwana Kirk Douglas, na ni mume wa mwigizaji mashughuri Bi. Catherine Zeta-Jones.

Maisha ya awali

hariri

Filamu alizoigiza

hariri
MwakaJina la filamuJina alilotumiaMaelezo
1966Cast a Giant ShadowJeep driversehemu ndogo
1969Hail, Hero!Carl Dixon
1970Adam at Six A.M.Adam Gaines
1971SummertreeJerry
1972Napoleon and SamanthaDanny
1975One Flew Over the Cuckoo's NestProducer (Academy Award)
1978ComaDr. Mark Bellows
1979RunningMichael Andropolis
The China SyndromeRichard Adams(mwigizaji/mtayarishaji)
1980It's My TurnBen Lewin
1983The Star ChamberSuperior Court Judge Steven R. Hardin
1984Romancing the StoneJack Colton(mwigizaji/mtayarishaji)
1985A Chorus LineZach
The Jewel of the NileJack Colton(mwigizaji/mtayarishaji)
1987Wall StreetGordon GekkoTuzo ya Academy kwa ajili ya mwigizaji bora wa filmu
Fatal AttractionDan Gallagher
1989The War of the RosesOliver Rose
Black RainDet. Sgt. Nick Conklin
1992Basic InstinctNick Curran
Shining ThroughEd Leland
Oliver Stone: Inside OutYeye mwenyewe( hadithi za maisha)
1993Falling DownWilliam "D-Fens" Foster
1994DisclosureTom Sanders
1995The American PresidentPresident Andrew Shepherd
1996The Ghost and the DarknessCharles Remington(mwigizaji/mtayarishaji mkuu)
1997The GameNicholas van Orton
1998A Perfect MurderSteven Taylor
1999One Day in SeptembaNarrator( hadithi za maisha)
Get BruceYeye mwenyewe( hadithi za maisha)
2000TrafficRobert Wakefield
Wonder BoysProfessor Grady Tripp
2001Don't Say a WordDr. Nathan R. Conrad
In Search of PeaceNarrator( hadithi za maisha)
One Night at McCool'sMr. Burmeister(mwigizaji/mtayarishaji)
2003The In-LawsSteve Tobias
It Runs in the FamilyAlex Gromberg
Direct OrderNarrator( hadithi za maisha)
2004The Beautiful CountryMan on TVFootage from Wall Street.
Tell Them Who You AreYeye mwenyewe( hadithi za maisha)
2006Racing the MonsoonHalijulikani(ishatangazwa)(mtayarishaji mshiriki)
You, Me and DupreeMr. Thompson
The SentinelPete Garrison(mwigizaji/mtayarishaji)
2007The MechanicKevin Bishop(ishatangazwa)
The Ride Down Mt. MorganLyman Felt(inamaliziwa)
Smoke & MirrorsJean Robert-Houdin(ishatangazwa)
King of CaliforniaCharlie(wanaunda kasha yake)
Money Never SleepsGordon Gekko(iko katika matengezo)

Marejeo

hariri
  1. http://fr.jpost.com/servlet/Satellite?cid=1164881875567&pagename=JPost/JPArticle/ShowFull Archived 13 Julai 2011 at the Wayback Machine.
  2. http://www.conovergenealogy.com/Pages/douglas.html
  3. http://www.iffkv.cz/?m=32&sub=2&year=1998 Archived 3 Septemba 2006 at the Wayback Machine.

Viungo vya nje

hariri
WikiMedia Commons