Mtofaa
Mtofaa (Malus domestica) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mtofaa | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mtofaa au mtufaha ni mti mdogo wa familia Rosaceae. Matunda yake huitwa matofaa au matufaha (kwa Kiingereza: "apple").
Mti huo unapandwa kila mahali katika kanda za wastani au juu ya milima. Haukui vizuri katika kanda za tropiki, kwa sababu takriban aina zote za mtofaa zinahitaji halijoto za chini ili kurahisisha kuchanua na kutoa matunda.
Picha
hariri- Mitofaa ichanuayo
- Matumba na maua
- Jozi la matofaa matawini
- Tofaa lililokatwa
- Mbegu
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtofaa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLuhaga Joelson MpinaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaAina za manenoFasihi simuliziOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaVitendawiliShairiKumaKisaweClatous ChamaPeter Simon MsigwaVivumishiFasihiMaalum:MabadalikoyaKaribuniFadlu DavidsMikoa ya TanzaniaKamusi za KiswahiliOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMisemoNahauSilabiDiamond PlatnumzKamusiTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoAmri KumiMshororoMpira wa miguuSentensiHistoria ya TanzaniaMapenziUandishi wa ripotiMaumivu ya kiunoUmaskiniUsafi wa mazingiraViunganishi