Orodha ya Marais wa Austria

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Austria (kwa Kijerumani: Bundespräsident, yaani rais wa shirikisho):

Bendera ya Austria.

Orodha

hariri

Marais wa Shirikisho la Kwanza Jamhuri ya Austria (1918-1938)

hariri
#Jina
(miaka ya maisha)
PichaMuda wa UtawalaChama
1Karl Seitz
(1869–1950)
5 Machi 19199 Desemba 1920SDAPÖ
2Michael Hainisch
(1858–1940)
9 Desemba 192010 Desemba 1928-
3Wilhelm Miklas
(1872–1956)
10 Desemba 192813 Machi 1938CS

Marais wa Shirikisho la Pili Jamhuri ya Austria (1945-sasa)

hariri
#Jina
(miaka ya maisha)
PichaMuda wa UtawalaChama
4Karl Renner
(1870–1950)
29 Aprili 194531 Desemba 1950SPÖ
5Theodor Körner
(1873–1957)
21 Juni 19514 Januari 1957SPÖ
6Adolf Schärf
(1890–1965)
22 Mei 195728 Februari 1965SPÖ
7Franz Jonas
(1899–1974)
9 Juni 196524 Aprili 1974SPÖ
8Rudolf Kirchschläger
(1915–2000)
8 Julai 19748 Julai 1986-
9Kurt Waldheim
(1918–2007)
8 Julai 19868 Julai 1992ÖPV
10Thomas Klestil
(1932–2004)
8 Julai 19926 Julai 2004ÖPV[1]
11Heinz Fischer
(1938- )
8 Julai 20048 Julai 2016SPÖ
11Alexander Van der Bellen
(1944- )
26 Januari 2017hadi sasaIndependents / Greens

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. In 1998 Klestil was supported by SPÖ, ÖVP and FPÖ.

Viungo vya Nje

hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu: