Orodha ya Marais wa Cote d'Ivoire

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Cote d'Ivoire (1960 - hadi leo):

Cote d'Ivoire

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Cote d'Ivoire



Nchi zingine · Atlasi


#PichaJina
Miaka ya maisha
Muda wa utawalaChama
1
Félix Houphouët-Boigny
18 Oktoba 1905
7 Desemba 1993
7 Agosti 19607 Desemba 1993PDCI
2
Henri Konan Bédié
5 Mei 1934 - 1 Agosti 2023
7 Desemba 199324 Desemba 1999PDCI
3Robert Guéï
16 Machi 1941
19 Septemba 2002
24 Desemba 199926 Oktoba 2000Kijeshi
4
Laurent Gbagbo
31 Mei 1945
6 Oktoba 200011 Aprili 2011FPI
5
Alassane Ouattara
1 Januari 1942
11 Aprili 2011SasaRDR

Tazama pia

hariri