Papa Pius XI
Papa Pius XI (31 Mei 1857 – 10 Februari 1939) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/12 Februari 1922 hadi kifo chake[1]. Alitokea Desio, Milano, Italia[2].
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/57/Catalogus_cleri_dioeceseos_Brunensis_-_1930_-_Photo_of_Pius_XI.png/220px-Catalogus_cleri_dioeceseos_Brunensis_-_1930_-_Photo_of_Pius_XI.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d1/Pius_xi_1.jpg/220px-Pius_xi_1.jpg)
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Achille Ratti.
Alimfuata Papa Benedikto XV na kuvishwa taji la Kipapa tarehe 12 Februari 1922. Akafuatwa na Papa Pius XII.
Maisha
haririKabla ya kuchaguliwa kama Papa, alikuwa askofu mkuu wa Milano (tangu mwaka 1921).
Tazama pia
haririTanbihi
hariri![]() | Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLuhaga Joelson MpinaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaTanzaniaNembo ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKumaShairiMaalum:MabadalikoyaKaribuniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)VichekeshoDiamond PlatnumzFasihi simuliziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaumivu ya kiunoMawasilianoKamusi za KiswahiliOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMisemoOrodha ya nchi za AfrikaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoYoung Africans S.C.VitendawiliVita Kuu ya Pili ya DuniaMofimuShinikizo la juu la damuJumuiya ya Afrika MasharikiWasukumaJohn MagufuliKiswahiliMboo