Saint John, New Brunswick
Saint John ni mji mkuu na mji mkubwa wa kwanza wa mkoa wa New Brunswick katika Kanada. Iko kwenye pwani la Ghuba ya Fundy. Uko kwenye mdomo mpana wa mto Saint John. Kuna wakazi 68,043 (2006). Eneo lake ni 316.31 km². Ni mji kongwe visiwani katika Kanada.
Saint John | |
Nchi | Kanada |
---|---|
Mkoa | New Brunswick |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 68,043 |
Tovuti: / www.saintjohn.ca |
Mji ulianzishwa 1604
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/08/Saint_John%2C_NB%2C_Reversing_Falls%2C_low_tide.jpg/220px-Saint_John%2C_NB%2C_Reversing_Falls%2C_low_tide.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/32/Sjnb-skyline.jpg/220px-Sjnb-skyline.jpg)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/b/b4/Saint_John%2C_New_Brunswick_Location.png/220px-Saint_John%2C_New_Brunswick_Location.png)
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint John, New Brunswick kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoClatous ChamaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShairiAina za manenoVivumishiJumuiya ya Afrika MasharikiKamusiFasihi simuliziNahauOrodha ya makabila ya TanzaniaKisaweSentensiMikoa ya TanzaniaMshororoKamusi za KiswahiliNembo ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoDiamond PlatnumzNominoMisemoAlama ya uakifishajiMadawa ya kulevyaKumaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSimba S.C.MofimuNgeliSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaVitenzi vishirikishi vikamilifuKitenzi kishirikishiMaumivu ya kiunoHistoria ya TanzaniaVitendawiliKitenziUandishi wa ripoti