Shamba
Shamba (kutoka Kifaransa "champ") ni eneo la ardhi ambalo limetengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo kwa lengo la kuzalisha mazao ya chakula na mazao mengineyo; ni kitu cha msingi katika uzalishaji wa chakula.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/e9/Centres_of_origin_and_spread_of_agriculture.svg/440px-Centres_of_origin_and_spread_of_agriculture.svg.png)
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d5/A_Pineapple_Farmer_in_Congo_%28DRC%29.jpg/220px-A_Pineapple_Farmer_in_Congo_%28DRC%29.jpg)
Neno hili linatumika kwa vitengo maalamu kama vile mashamba ya nafaka, mashamba ya mbogamboga, mashamba ya Mazao ya biashara na mashamba ya matunda.
Mara nyingi mashamba yanaendana na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nguruwe, kuku n.k., pamoja na ardhi inayotumika kwa uzalishaji wa fuwele asili, nishati ya mimea na bidhaa nyinginezo.
Inahusisha ranchi, mashamba makubwa na bustani pamoja na ardhi.
Tanbihi
hariri- ↑ Diamond, J.; Bellwood, P. (2003). "Farmers and Their Languages: The First Expansions". Science. 300 (5619): 597–603. Bibcode:2003Sci...300..597D. doi:10.1126/science.1078208. PMID 12714734.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shamba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia