Simoni wa Lara
Simoni wa Lara, O. de M. (alifia dini katika Bahari ya Kati, 1361) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Andalusia, Hispania, ambaye alikwenda Afrika Kaskazini pamoja na Petro wa Mt. Maria kukomboa watumwa lakini wakati wa kurudi alikamatwa na Waislamu, akateswa na hatimaye kutoswa baharini kwa ajili ya imani yake.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaClatous ChamaShairiOrodha ya makabila ya TanzaniaNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKisaweJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiFasihi simuliziMikoa ya TanzaniaKamusiKamusi za KiswahiliVivumishiKumaMshororoVitendawiliMisemoSaba Saba (Tanzania)Mfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTanzaniaSilabiTanganyikaNgeliNembo ya TanzaniaUkimwiSimba S.C.MofimuAlama ya uakifishajiHaki za watotoOrodha ya Magavana wa TanganyikaDiamond PlatnumzUandishi wa ripotiLugha