Sophia Kleinherne
mchezaji wa mpira wa miguu
Sophia Kleinherne (alizaliwa 12 Aprili 2000) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa klabu ya wanawake ya Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Ujerumani.[1]
Mnamo Januari 2020, alitajwa na UEFA kama mmoja wa wachezaji vijana 10 wanaoleta matumaini makubwa huko Ulaya[2]
Marejeo
hariri- ↑ Aumüller, Ralf. "Sophia Kleinherne hat noch ein ganz großes Ziel", Westfälische Nachrichten, 10 March 2018. (de)
- ↑ "Ten for the future: UEFA.com's women players to watch for 2020", UEFA, 2 January 2020.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sophia Kleinherne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLuhaga Joelson MpinaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaAina za manenoFasihi simuliziOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaVitendawiliShairiKumaKisaweClatous ChamaPeter Simon MsigwaVivumishiFasihiMaalum:MabadalikoyaKaribuniFadlu DavidsMikoa ya TanzaniaKamusi za KiswahiliOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMisemoNahauSilabiDiamond PlatnumzKamusiTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoAmri KumiMshororoMpira wa miguuSentensiHistoria ya TanzaniaMapenziUandishi wa ripotiMaumivu ya kiunoUmaskiniUsafi wa mazingiraViunganishi