Timothy Hunt
Timothy Hunt (amezaliwa 19 Februari, 1943) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza protini na kazi yake katika ugawanyaji wa seli. Mwaka wa 2001, pamoja na Leland Hartwell na Paul Nurse, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timothy Hunt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaDiamond PlatnumzClatous ChamaKumaFasihi simuliziOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaAina za manenoWikipedia:AboutShairiMkoa wa KataviUandishi wa ripotiMaumivu ya kiunoSimba S.C.Nembo ya TanzaniaJohn MagufuliVichekeshoEe Mungu Nguvu YetuMbooOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTafsiriVivumishiKamusiLuhaga Joelson MpinaWilliam RutoSilabiMisemoKamusi za KiswahiliOrodha ya Watakatifu WakristoMapenzi ya jinsia mojaLughaMofimuKisaweWilaya za TanzaniaKiswahili