Utungisho
Utungisho (kwa Kiingerezaː Fertilisation au fertilization; pia generative fertilisation, conception, fecundation, syngamy na impregnation[1]) ni muungano wa gameti ya kiume na ya kike ambao ni mwanzo wa kiumbehai mpya.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/8/86/Sperm-egg.jpg/299px-Sperm-egg.jpg)
Utungisho ni wakati muafaka katika mchakato mzima wa kuzaliana. Huanza pale mbegu ya manii inapokutana na sehemu ya nje ya kijiyai (ovum) na humalizikia pale kiini cha mbegu hiyo kinapoungana na kile cha yai kuaunda seli moja ambayo baadaye hukua na kufikia hali ya kiumbe kikubwa cha spishi yake.
Utungisho hutokea kwa wanyama hali kadhalika kwa mimea ambayo huzaliana kwa ogani zote za kike na kiume kuchangia katika kutengeneza kiumbe kipya.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri![]() | Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Utungisho kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoFasihi simuliziClatous ChamaKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaShairiMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniTendo la ndoaMwanamkeTanzaniaMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzFasihiAina za manenoVichekeshoKamusiMpira wa miguuJohn MagufuliVivumishiSilabiKamusi za KiswahiliMtakatifu PauloOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoUandishi wa ripotiYoung Africans S.C.TafsiriMbooInjili ya MarkoKiswahiliZuchuAmri KumiLughaOrodha ya Watakatifu Wakristo