Uwanja wa michezo wa Cardiff

Uwanja wa michezo wa Cardiff ni uwanja mkubwa sana wa michezo uliopo katika mji wa Wales huko nchini Ulaya visiwani.

Uwanja wa Cardiff

Uwanja huo ni mkubwa na mzuri,mnamo mwaka 2017 umebahatika kuchezwa mashindano makubwa ya mpira wa miguu barani Ulaya UEFA.