Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle
Jengo barani Afrika
Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle ni uwanja wa michezo unaopatikana Porto-Novo, Benin lililopewa jina baada ya Charles de Gaulle.Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka. Na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya 'Ouémé, Aiglons FC. Uwanja una uwezo wa kubeba washabiki 15,000.[1]
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/51/Stade_charles_de_Gaulle_de_Porto-Novo.jpg/300px-Stade_charles_de_Gaulle_de_Porto-Novo.jpg)
Marejeo
hariri- ↑ liberte-algerie.com. "ÉCHOS DE PORTO-NOVO : Toute l'actualité sur liberte-algerie.com". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-16. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Charles de Gaulle kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLuhaga Joelson MpinaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuClatous ChamaTanzaniaNembo ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKumaShairiMaalum:MabadalikoyaKaribuniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)VichekeshoDiamond PlatnumzFasihi simuliziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaumivu ya kiunoMawasilianoKamusi za KiswahiliOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMisemoOrodha ya nchi za AfrikaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaOrodha ya Watakatifu WakristoAina za manenoYoung Africans S.C.VitendawiliVita Kuu ya Pili ya DuniaMofimuShinikizo la juu la damuJumuiya ya Afrika MasharikiWasukumaJohn MagufuliKiswahiliMboo