Washington

jimbo la Marekani

Washington ni kati ya majimbo ya kujitawala ya Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini magharibi ya Marekani bara. Imepakana na Oregon, Idaho na British Columbia katika Kanada. Upande wa magharibi kuna pwani la Pasifiki.

Msitu wa taifa wa mlima Baker-Snoqualmie
kwa maana mbalimbali ya jina "Washington" tazama Washington (maana); mji mkuu wa Marekani ni Washington D.C.








Washington

Bendera

Nembo
NchiBendera ya Marekani Marekani
Mji mkuuOlympia
Eneo
 - Jumla184,665 km²
 - Kavu172,348 km² 
 - Maji12,317 km² 
Tovuti:  http://access.wa.gov/

Jina la jimbo lilitolewa kwa heshima ya rais wa kwanza wa Marekani George Washington.

Mji mkuu wa jimbo ni Olympia. Hii ni mji mdogo. Miji miwili mikubwa ya jimbo ni Seattle na Spokane.Eneo la jimbo ni 184,824 km² na idadi ya wakazi inazidi milioni sita.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Majimbo ya Marekani

AlabamaAlaskaArizonaArkansasCaliforniaColoradoConnecticutDelawareFloridaGeorgiaHawaiiIdahoIllinoisIndianaIowaKansasKentuckyLouisianaMaineMarylandMassachusettsMichiganMinnesotaMississippiMissouriMontanaNebraskaNevadaNew HampshireNew JerseyNew MexicoNew YorkNorth CarolinaNorth DakotaOhioOklahomaOregonPennsylvaniaRhode IslandSouth CarolinaSouth DakotaTennesseeTexasUtahVermontVirginiaWashingtonWest VirginiaWisconsinWyoming

Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Washington kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.