Wilaya ya Bungoma


Wilaya ya Bungoma ilikuwa mojawapo ya wilaya za Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi mwaka 2010.

Wilaya ya Bungoma
Mahali paWilaya ya Bungoma
Mahali paWilaya ya Bungoma
Mahali pa Wilaya ya Bungoma katika Kenya
NchiBendera ya Kenya Kenya
Mji mkuuBungoma
Eneo
 - Jumla2,206.9 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 1,375,063

Makao makuu yalikuwa Bungoma mjini.

Kwa sasa imekuwa Kaunti ya Bungoma.

Marejeo

hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bungoma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.