Wilaya ya Nakuru


Wilaya ya Nakuru ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Nakuru
Mahali paWilaya ya Nakuru
Mahali paWilaya ya Nakuru
Mahali pa Wilaya ya Nakuru katika Kenya
NchiBendera ya Kenya Kenya
Mji mkuuNakuru
Eneo
 - Jumla7,509.5 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 1,603,325

Makao makuu yalikuwa mjini Nakuru.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nakuru.

Marejeo

hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nakuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.